elibrary Type
Manuals (Operations manual, guides, training manuals)
elibrary Name
Usindikaji Bora wa Maziwa (Milk Hygiene(Module 5)
Publisher
Dairy Development Authority
Asbract

[SWAHILI] Ni muhimu kwa msindikaji kuelewa kuwa maziwa yasipohudumiwa katika hali ya usafi kuanzia kwa mfugaji, ubora wake hauwezi ukarekebishwa na yatakuwa hayafai kwa usindikaji. Kwa kuzingatia hayo, kipengele hiki cha uzalishaji bora wa maziwa kimeingizwa kwenye mwongozo huu ili kukusaidia kuelewa mambo yanayoathiri ubora wa maziwa kwa kuangalia mfumo mzima kuanzia ngazi ya mfugaji mpaka kumfikia msindikaji.

Author
Isha Muzira, Michel Ngarambe, Obed Ndankuu, Philip K Cherono,