elibrary Type
Manuals (Operations manual, guides, training manuals)
elibrary Name
Njia Bora za Ukusanyaji na Upimaji Maziwa (Milk Hygiene(Module 2)
Publisher
Dairy Development Authority
Asbract

Maziwa yanayokamuliwa kutoka kwenye ngombe mwenye afya yanakuwa na bakteria wachache sana. Uchafu unaingiza bakteria wanaosababisha maziwa kuharibika haraka. Ili kuhakikisha maziwa yanaendelea kuwa freshi kwa muda mrefu zaidi unahitaji usafi wa ukamuaji na utunzaji wa maziwa.

Author
Isha Muzira, Michel Ngarambe, Obed Ndankuu, Philip K Cherono