elibrary Type
Manuals (Operations manual, guides, training manuals)
elibrary Name
Utunzaji, Uhifadhi na Usafirishaji Bora wa Maziwa (Milk Hygiene(Module 3)
Full Text
Publisher
Dairy Development Authority
Asbract
[SWAHILI] Maziwa yanayokamuliwa kutoka kwenye ngombe mwenye afya yanakuwa na bakteria wachache sana. Uchafu unaingiza bakteria wanaosababisha maziwa kuharibika haraka. Ili kuhakikisha maziwa yanaendelea kuwa freshi kwa muda mrefu zaidi unahitaji usafi wa ukamuaji na utunzaji wa maziwa.